![]() |
| Askofu Braston Gavele akiwa katika kiti cha Askofu kuanza kazi rasmi kuiongoza Dayosisi ya Iringa |
![]() |
| Wakuu wa wilaya Kilolo,Mufindi na Iringa wakijadili Jambo katika Ibada ya kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi ya Iringa |
![]() |
| Askofu Mstaafu Dkt Owdenburg Mdegella na Katibu mkuu wa Dayosisi hiyo Nayman Chavala wakimkabidhi Hati ya Uaskofu Askofu mpya Braston Gavile |
![]() |
| Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Askofu Dkt Frederick Shooakimwingiza kazini Askofu Gavile |
kanisa hilo.
Ibada ya kuwekwa wakfu kwa mchungaji Braston Gavile imehudhuriwa na waumini wa kanisa hilo kutoka maeneo Tofautitofauti katika mkoa wa Iringa,viongozi wa serikali na Maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali ndani ya nchi na nje ya nchi.
Miongoni mwa shughuli zitakazofanywa na Askofu Huyo ni pamoja na kusimamia shughuli zote na huduma katika Dayosisi,kuwa msemaji mkuu wa Dayosisi kwa Serikali,Kushiriki katika mkutano mkuu wa Dayosisi kama mwenyekiti,Kuidhinisha kusimamishwa kazi kwa mtumishi yeyote atakyefanya kinyume na Taratibu na mengineyo.
ENDELEA KUWA NASI TUTAKUJUZA YOTE YANAYOENDELEA







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni