Kutokana ma msiba uliowakuta wanaYanga wote Sayariya Habari inatoa pole kwani tunambua alikuwa mmoja ya mashabiki wenye kuamsha hamasa kwa wachezaji na mashabiki wenzake bali tunasema kazi ya Mungu haina makosa,sisi pia kama sehemu ya wadawu wa michezo nchini Tanzania tumeguswa na msiba huo tunatoa changamoto kwa wadawu wote wa michezo nchini kumuenzi ndugu yetu Ally Yanga kwa namna alivyojitoa katika kuhamasisha watanzania hususani wana Yanga kuipenda michezo.
lly Yanga kama anavyofahamika amefariki jijini Dodoma ambako taarifa zinasema alikuwa kwenye shughuli za kukimbiza mwenge.
Yanga alikuwa maarufu sana katika ushangiliaji kutokana na aina yake ya kipekee ya kujipaka mkaa usoni na kujaza nguo katika tumbo lake kama ana kitambi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni